KIDUMU BAND- barmedas.tv

KIDUMU BAND.

Band mashuhuri inayojulikana Kidumu jana ilikonga mioyo ya watazamaji waliokuwa wamefurika kuja kuitazama na kushuhudia kwa Macho yao.

Wakiwa katika ukumbi wa Villa Park Resolt wakipiga Muziki , wakitanguliwa na wenyeji wao Super Kamanyolla walizi


konga nyoyo za watazamaji waliokuja kuwaona, kituo cha utangazaji barmedas.tv kilikuwepo kuratibu shughuli zote zilizokuwa zikifanyika siku hiyo, shoo ilianza majira ya saa 2:00 usiku na kukamilika majira ya saa 8: 00 Usiku.  PICHA BAND YA KIDUMU.

Comments