MCHEZO WA BAO UENZIWE-barmedas.tv

MCHEZO WA BAO UENZIWE.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania , Dk Mohamed  Ghalib  Bilal, aliwataka Wtanzania kuuenzi mchezo wa bao kwa lengo la kudumisha umoja ,  Mshikamanom uliopo sasa na  Amani na utulivu katika Nchi yetu.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la ngoma za asili za kusherehekea mavuno "Bulabo" Bilali alisema kuwa " Michezo wa bao umetumika sana na Wazee wetu katika kupata ardhi pasipo kumwaga damu.

" Nimefurahishwa sana na Mchezo wa bao waasili, ulivyotumika na Watemi ulivyotumika kwa wazee wa Kisukuma katika kupata ardhi pasipo kugombana walawaga damu, bali Amani iliendelea kutawala hadiu sasa tunaendelea kupata Amani kwa ajili ya  wazee wetu swaliijenga amani hii kwa kuthamibni Michezo haswa mchezo wa bao" alisema Bilal.

Bilal  alichangia Tshs 15 Milliion kwa Mwaka 2013 hadi  2015, kama sehemu ya kuenzi na kuheshimu Tamasha  hilo  ili liendelee kuenziwa, hku kwa Mwaka huu Raius Jakaya Mrisho Kikwete akichangia Ng'ombe 2014.

Awali  akitambulisha maeneo ya amakumbusho kwa amakamu  wa Rais, Mkurugenzi wa Kituo hicho Father Fabian  Mhoja, alieleza kuwa,  bao  lilitumika kupata eneo la Ardhi ambalo watemi ama Mtemi alikuwa akilihitaji , huku akitoa mfano wa eneo la Buhongwa lilipatikana toka Bukumbi kwa mchezo wa bao.

Buhongwa maana yake limemegwa toka Bukumbi,Makamu wa Rais wa Tanzania , Dk Bilal aliwataka wawekezaji Nchini  utunzaji wa wa mazingira kwa faida ya kizazi kijacho kama Wazee wetu walivyoyatunza na kuyathamini amazingira yao, barmedas.tv nao ni wadau wakubwa wa Tamasha hili na ndio wanaratibu kwa kuchukua matukio siku ya 1 hadi siku ya mwisho ya Tamasha hilo, la Bulabo.

Comments