MFUNGO WA RAMADHANI-barmedas.tv

MFUNGO WA RAMADHANI.
Super Kamanyolla Band yasitisha shughuli zake zote ikiambatana  na Villa Park Resolt kupisha mfungo wa Ramadhani.

Kama ilivyo ada,  kinapofika kipindi kama hiki cha Ramadhani kila kitu katika ukumbi huu husitishwa na kuacha watu wafunge Ramadhani kwa Amani,
Shughuli hii itarejeshwa  kama kawaida kipindi cha Idd  shughuli zote zitaendelea kama kawaida.

barmedas.tv inawatakia Waislamu kote ulimwenguni , mfungo mwema wa Ramadhani na Amani tele.

Comments