SUPER KAMANYOLLA BAND-barmedas.tv

VILLA PARK RESOLT:

Ukumbi wa Villa Park, niukumbi mkubwa na umekuwa maarufu kwa jiji la Mwanza kwa wageni  na Wakazi wa Jiji hili kwani mbali na kupata chakula safi zao la ziwa Victoria lakini pia, hupata muziki safi kutoka kwa Band yenye wanamuziki waliobobea katika upigaji wa Muziki, nao si wengine ni wana SUPER KAMANYOLLA BAND.

Wana muziki wanaojumuisha Band hii ni mahiri na niweredi katika tasinia hii ya Muziki, inao wanamuziki karibu wote wamepiga ama kuimba katika Band kubwa hapa Nchini na Nje.

Jna walifanya onyesho la Mwisho ( Vunja jungu) kuupisha mwezi wa Ramadhani utakapoanza.

Comments