SWAUMU-barmedas.tv

Swaumu ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani
Ni nguzo ya nne miongoni mwa nguzo tano za Uislam ambazo Uislam umejengwa juu yake , hivyo kuacha kufunga ni kutokusimamisha nguzo hii,  na kutokusimamisha nguzo ni kutokusimamisha Uislam kufunga , ukiacha bila sababu za kisheria unapata Dhambi.

Mawaidha hayo yametolewa na Shekh Abdulrahiman Hussein , alipokuwa kwenye Studio za barmedas.tv
akiwa kumbusha WAISLAM kuhusu mfungo wa Ramadhan na wajibu wa Mwislam katika kufunga kipindi cha Ramadhani ili kujipatia thawabu kwa Mungu.

Comments