TAMASHA BUJORA-barmedas.tv

Tamasha hili la ngoma za Kisukuma hufanyika kila Mwaka kwenye msimu wa Mavuno.
Wasukuma huamini sherehe hizi,  hukutanisha wztu mbali mbali ambapo watu hupata fursa ya kutambuana,  kubadilishana mawazo na pia kuimarisha utamaduni wa Msukuma.

Comments