TAMASHA LA BULABO-barmedas.tv

Tamasha la Bulabo lafikia tsmati leo tarehe 30/06/2014 kufungwa na Mkuu wa Wilaya Mh  Jackline Liana , kabla ya kuyafunga alishuhudia ushindani mkubwa na kupelekea Ngoma ya Bagika kutoka Bariadi kuinuka kidedea leo.

Watazamaji waliofurika kwenye uwanja walidhuhudia burudani toka kwa Bagalu na Bagika ambao walishindana kwa mbwembwe na ubunifu mkubwa ambapo Mkuu wa Wilaya aliyasifia maonesho hayo kwa washindani walionedha ubunifu Mkubwa.

Comments