UJIO WA KOMBE LA DUNIA MWANZA-barmedas.tv



Mzee Amza Kalala Mtangazaji mkongwe wa Kituo cha Channel ten alipokutana na watangazaji wa kituo cha barmedas.tv kat6ika uwanja wa Micvhezo CCM Kirumba kwenye  ujio wa  Kombe la Dunia
Mwl Charles Sokoro Simba Kabonga na Mzee Amza Kasongo Picha juu, kati kati uwanja wa CCM na  wapanda boda boda waliohudhulia kwa wingi kwenye sherehe hiyo, picha ya chini ni viongozi mbali mbali waliofika katika sherehe hiyo fupi pia mpiga picha  wa kituo cha utangazaji cha barmedas.tv akichukua matukio hayo ambapo tukio hilo pia lilirushwa Live na kituo hicho cha barmedas.tv.

Kombe hilo lilipokelewa na Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Mh Jakaya Mrisho  Kikwete,
ambapo alikabidhiwa Kombe hilo hapo katika uwanja wa  CCM Kirumba.

Comments