EID EL FITRI-barmedas.tv

Swala ki Mkoa itaswaliwa katika Msikiti wa Al-Assassy ulioko Mtaa wa Nera -Bara bara ya Makongoro.

Ibada itaongozwa na Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza  Salum Fereji. barmedas.tv wapo kwenye eneo la Ibada kuwaletea kila kinachojili hapo , tangia mwanzo wa Ibada hadi mwisho

Comments