MEYA CUP- barmedas.tv






Meyor Cup- Mashindayo yaliyofanyika Mwaka jana katika uwanja wa Nyamagana na kurushwa moja kwa moja na kituo cha barmedas.tv  na TV kubwa  LED iliyopo uwanjani na zilizopo maeneo mengine.

Picha hizo zinaonyesha shughuli zilizofanyika katika kipindi chote cha Mayor Cup, pia Screen Kubwa iliwekwa Mabatini, viwanja vya kona ya Bwiru na Nyegezi uwanja wa Michezo.

Comments