BARAZA LA WATOTO- barmedas.tv









Kamati ya Muungano wa Tanzania (BWJMT) wakiwa na  Mh: Sophia Simba- Waziri wa maendeleo ya Jamii ,Jinsia na Watoto akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Tanzania , Ummy Jamal,
pia ni mtangazaji wa Kipindi cha Baraza la Watoto ambacho hurushwa na kituo cha barmedas.tv kilichopo makao makuu  Mkoani , Mwanza.

Baraza la watoto  Tanzania hivi karibuni lilikuwa kimekwenda Dodoma kukutana na Waziri mwenye Dhamana .

Comments