MAWE YA KAMANGA-barmedas.tv

Mawe yaliyobebana hapo maeneo yanayoitwa Kamanga, hakika huonyesha taswira ya Jiji letu la Mwanza.

Wageni wanapofika Jiji la Mwanza huridhika wanapofika wao wenyewe nakujionea alama hizi maarufu hupeleka sifa nzuri warudipo Nyumbani.

Wakazi wa Jiji hili, wanasifa ya Ucheshi na Ukarimu hakika hulifanya Jiji la Mwanza kila siku wageni huingia kuja kujionea rasilimali zilizopo, Jiji lililopambwa na Milima yenye mawe.

      WGENI KARIBU MWANZA.

Comments