MGOMO WA MALIZIKA- barmedas.tv








Hali ya kudorora kwa uchumi ambao wafanya biashara  walikumbwa na kisanga hicho jana  mgomo huo ulitafutiwa ufumbuzi baada ya viongozi wa Mkoa kuweza kukaa Meza moja na Wawakili upande wa Wafanya biashara na kufikia mwafaka kwa madai yaliyokuwa yakitolewa na wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kuwalazimisha kuwepo na uwiwano katika ulipaji wa leseni pamoja na makadilio ya kodi ambapo  kulikuwa hakuna uwiyano bali  ni makadilio ambayo yalikuwa yakiwaumiza sana Wafanyabiashara wadogo wadogo.

Picha juu zinaonyesha mitaa sasa inaanza kuchangamka na Watu wameanza shughuli zao za hapa na pale za kujipatia mkate wa kila siku.

barmedas.tv tulipita mitaani nakuona kweli hali imebadirika tofauti na juzi wala jana, ambapo kulikuwa na ukimya sana katika mitaa yote na watu walikuwa wachache sana w wakichacharika na mishe mishe za mjini, lakini leo, Watu wanaonekana wamechangamka ikiwa ni pamoja na wafanyabiashara wa Mikoani kuingia tena mjini kwa kufuata bidhaa.

Comments