MISS LAKE ZONE- barmedas.tv

Zawadi itakayo shindaniwa na kutwaliwa kwa walimbwende hapo siku ya Jumamosi tarehe 30/ 08/ 2014 katika uwanja wa CCM Kirumba.

Kesho tarehe 29/ 08/ 2014 watatembelea Ofisi za barmedas zilizoko Mtaa wa Bantu- Jijini Mwanza.

Pia barmedas.tv ni  kati ya wadhamini wamashindano haya.

Comments