NENDA KWA USALAMA- barmedas.tv

Week ya nenda kwa usalama iliyofanyika Mwaka jana 2013  na Mkoa wa Mwanza kuwa mwenyeji wa Sherehe hizo , hakika sherehe zilifana sana.

Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Bara barani
Kwa kushirikiana na barmedas.tv waliandaa program ambayo ilifanyika Live kwa kufanya maonyesho maeneo ya Mission Makongoro na Eneo la Mabatini palipo na Daraja sasa hatimae eneo la Bara bara ya Nyerere kwenye mataa.

Program ilikwenda Live watu walionyesha ushirikiano pale walipoeleza kero zao na kimosi kilichokuwa kimejiandaa kwa shughuli hiyo kiliwajibu maswali wahusika pia mafunzo yalitolewa papo kwa papo  yalienda Live ,  simu zilipigwa moja kwa moja majumbani na yalijibiwa papo kwa papo.

2014 Week ya nenda kwa usalama kitaifa itakuwa Mkoa wa Arusha, lakini Mwanza itaendekea na Program zake ki Mkoa kwa Mjibu wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Upande wa Usalama Barabarani ameandaa mafunzo na Srmina mbali mbali zitakazo elekezwa kwa walengwa wote wKishirikiana na kituo cha barmedas.tv.

Comments