OFFA KABAMBE - barmedas.tv

OFFA KABAMBE inayotarajiwa kuchezeshwa tarehe 01/09/2014 siku zake zinahesasbika wewe mteja ambaye tayari uliisha jipatia tiketi zako endelea kuongeza vocha ili mwisho wasiku unaweza kujizolea zawadi zaidi ya moja.

Nawewe ambaye ungali bado kukata hata vocha moja ! njoo ujipatie vocha kwa Shs 2,500/= kila vocha lakini zawadi yake ni kubwa na bora sana kuliko kiasi cha Vocha utakayo kata, je unangoja nini wewe ????

Usikose Bahati hii , zawadi kemu kemu zitatolewa kwa washindi hadharani tena kweupeeee-, mambo haya yote yatafanyika hapa hapa katika ofisi zetu za barmedas.tv zilizoko Mtaa wa Bantu kuanzia saa 4:00 Asubuhi..

Comments