ROAD SHOW-barmefas.tv

Road Show husaidia  sana kwenda kuwatembelea wateja wetu, huko hupata kujua matatizo wayapatayo wateja wetu, lakini pia hujenga uhusiano mzuri kati ya wateja na Kampuni na kunua je watazamaji wanashauri nini kuhusu utazamaji maji wa barmedas kwa ujumla.

Zoezi hili hufanyika kila siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kuanzia saa 8:00 mchana
Hadi saa 12: 00 jioni kila week.

Kunakikosi maalumu kiliteuliwa kwa kazi hiyo,
Na maeneo yatembelewayo nimaeneo yenye wateja wetu tayari na maeneo mapya.

Zoezi hili limekuwa na mafanikio makubwa kwani tunajenga uhusiano wakaribu na wateja wetu.

Comments