TV AIR PORT-barmedas.tv





TV ZILIZOKO  AIR PORT -MWANZA:

Ukifika katika uwanja wa ndege Mwanza, utakuta wasafiri wamekaa wanasubiri kuondoka huwa hawana jingine bali huangalia vipindi mbali mbali kwa Screen zilizofungwa hapo uwanja wa Ndege, pia wasafiri wanaokamilisha taratibu za safari wote huwa wanatazama barmedas.tv.

Ukiongea na wasafiri hao wote husema Channel ya Mwanza Tv  Guide huwa ni yakwanza kuiangalia kwani huwapa ratiba sahihi ya ndege ambayo msafiri huwa anatarajia kusafiri nayo, si hivyo tu  pia huendelea kupewa taarifa ya hali ya hewa na taarifa za pesa thamani zake kwa siku hiyo na taarifa zingine nyingi kupitia
channel hii..

Pia kuna Screen zingine zinaonyesha Channel mbali mbali ,ili mradi wewe msafiri kukupa hamu yakuitaka safari yako iwadie mapema, huduma hii hutolewa na barmedas.tv.

Picha hapo juu  wasafiri walivyofurahia huduma hizi, hakika " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata" endelea kuitazama barmedas.tv.

Comments