UCHAGUZI-barmedas.tv

UCHAGUZI:
Wajumbe wakipiga kura kumuthibitisha Katibu Mkuu wa Dioces ya Mwanza wajumbe Idadi ni 180.
Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo   kura ya  NDIYO  - 99     HAPANA   93 na hivyo kufanya  Katibu kukitete kiti chake.  Picha chini zinaonyesha wajumbe wakipiga kura picha ya  ya kwanza juu ni Askofu Mkuu Baba Silas Kezakubi upande wa kulia ni Mchungaji Joel  Ng'weng'weta- Katibu Mkuu Dioces ya Mwanza na Kushoto ni Makamu Ask  Mchungaji  Joctan  Malula .





Comments