UJASILIA MALI- barmedas.tv
Mrs Petronilla Mlowe kutoka Uingreza ni Fellow Member of MSC & C.E.O For Quality Consultany Co . Ltdod Safety & Kutoka Uingreza akitoa mafunzo katika Hotel ya Mwanza yaliyofanyika Mwaka 2014. Wajasilimia mali walipata fursa kujifunza mambo mbali mbali yakuwafanya wajiendeleze kimaisha .
barmedas.tv walishiriki kwa kuwahabarisha watazamaji kuhusu Semina hiyo ya ujasilia mali kwa kurusha matangazo hayo LIVE..
Comments
Post a Comment