AIRPORT SCREENS -barmedas.tv

Haijalishi msafiri yuko katika harakati gani ya maandalizi ,  hasa afikapo ikiwa pamoja na taratibu zote  za kuandaa kabla ya kuanza safari, bado inampa msukumo kuziangalia screen zetu zilizo hapo uwanjani kwani, huhitaji angalau atupie jicho japo kidogo ama apate kujua ratiba ya safari ama kuangalia kipindi chochote ambacho atakutana nacho wakati akijiandaa katika safari yake.

barmedas.tv tumeweka screen hapo mbali mbali idadi yake Jumla ni 16 na tukazigawa  kwa kila fungu inahudumia channel fulani, picha zinaonyesha jinsi gani wasafiri wanavutiwa na taarifa za screen zilizopo hapo uwanjani na wanakuwa wanaburudika na taarifa zitolewazo .
        " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata"



Comments