DIGITAL-barmedas

"Hebu tufikirie kwa makini muonekano wa picha kwenye Screen si ndio tuliokuwa tunauhitaji ama bado! Ah Bwana mkubwa HD tena muonekano unakiwango".

Wakurugenzi wa Barmedas.Com Mr Mohin na Hirnoy Barmeda , wakiwa kwenye kuhakiki maandalizi ya kuingia sasa kwenye Digital kama walivyokusudia " Wateja wetu tulieni mutapata picha saaaaaaafi"

Comments