HARAMBEE YA VYOMBO-barmeda.tv

Kanisa la  AICT  Kabuholo wafanya Harambe ya kuchangia vyombo vya Mziki wa Kwaya,
Wanakwaya wakiimba  AICT Kabuholo wakiimba kwenye Harambe hiyo, pia AICT Makongoro Kwaya walikuwepo kwaajili ya kuongeza nguvu katika Harambee hiyo kama rafiki zao.

Tendo hili limefanyika sikun ya  Jumapili tarehe 28/09/2014, AICT Kabuholo ni Local church ya Pastoratye ya  Makongoro, Kiongozi wa Kanisa hili ni Mchungaji Isaya.

Kwaya ilianza ikiwa na waimbaji 4 laikini sasa inawana Kwaya jumla 35 Wakiume na Wakike wenye rika  tofauti lakini hakuna wazee wenye umri wa zaidi ya Miaka 40 kwenda juu, hivyo kwa kuboresha huduma ya uimbaji ndipi Kanisa lilipoamua kufanya Harambee ya uchangishaji wa kupatikana vyombo hivyo.

Hadi natoka kwenye eneo la tukio, Hesabu kamili ilikuwa haijatangazwa rasimi na Mchungaji ambaye ndiye mkuu na kiongozi wa Kanisa hilo.

Comments