SEKOTOURE HOSPITAL- barmedas.tv

Hospital ya Sekotoure barmedas wanaanza kuweka Screen ambazo  zitakuwa zikionyesha Mandhali ya Jiji lam Mwanza na taarifa za jiji la Mwanza , Kijiografia, kijamii, Kiuchumi .na kibiashara.

Screen hizi ukienda maeneo mengine zimewekwa kwa lengo la kuelimisha na kuhabarisha pia, kwa wagonjwa wanaofika hapo kupata huduma watapata taarifa mbali mbali wakati wakisubiri kwenda kwa Daktari kutibiwa.

Picha hapo chini ni Kati ya Screen zilizoanza kuwekwa hapo Sekotoure Hos[pital , barmedas ndio wanao fanya shughuli ya kuweka Screen hizi kwa kushirikiana na uongozi wa Hospital ya Sekotoure.



Comments