KITUO CHA BUJORA- barmedas.tv

Mkuu wa Wilaya ya Magu Mh Jackline Liana akihutubia umati uliofika kujionea ngoma za utamaduni za Msukuma huko  Bujora.

Ngoma hizo zilijumuisha vikundi mbali mbali vya Kisukuma wakiwemo wahasimu wakubwa  Wagika na Bagalu, aliyekaa kushoto mwa Mkuu wa Wilaya ni Fr  Fabiani Mhoja ,  aambaye ndiye Mkuu wa KITENGO CHA MAKUMBUSHO BUJORA, akiwa ameinua mkono kuashilia kuitikia jambo ambalo Mkuu alikuwa akisisitiza.

barmedas.tv  walikuwepo wakiratibu matukio yote kwa kushirikiana na kituo cha Makumbusho Bujora.


Comments