MSHINDI WA OFFA KABAMBE-barmedas.tv

MSHINDI WA OFA KABAMBE:
Hatimae mshindi wa Offa Kabambe alipatikana mmoja baada ya mwingi [ichani kati ya washindi wa Offa Kabambe akipokea zawadi yake.

Baada ya maelekezo mafupi kutoka kwa Mwl  Sokoro kama Picha zionekanavyo! Kazi ilianza kwa hatua kama inavyoonekana kukata tepe za sanduku ambazo zilikuwa zimefungwa kabisa Ramadhani Saluum mfanyakazi wa barmedas kitengo cha ufundi akiwa nafasi yake ni fundi mkuu msaidizi  anazikata tepe hizo mara baada ya waliohudhulia Shindano hilo la Offa Kabambe kuhakikisha hakika lilikuwa limefungwa.

Picha ya chini Mgeni rasimi akihakikisha kweli mambo yako sawa na hatimae Miss Lake Zone kuanza kuzichekecha vocha nakutoa moja ambayo ilimtaja mshindi wa kwanza ambaye alijinyakulia zawadi aina ya samsung.



Comments

Post a Comment