ROCK CITY- barmedas.tv

Taswira ya Jiji la mwanza linavyoonekana na nyumba zikiwa ziko katika milima yenye mawe mengi ( Rock City) Picha hii ilichukuliwa na mpiga picha akiwa maeneo ya Kabuholo, pia ziwa Victoria  lenye maji Baridi likionekana kwa mbali likilipamba Jiji la Mwanza.


 katika maeneo ya Kabuholo.

Comments