GK MIN SUPER MARKET GK -barmedas.tv

GK MIN  SUPER MARKET:
GK Super Market nikati ya maduka yanayohudumia Jiji la Mwaka kwa kuuza Bidhaa Mbali mbali  na huduma zake hufanyika karibu masaa 18.

Jiji la Mwanza mbali kuwa na vivutio vingi vya asili lakini pia Supermaket zilizoko katika Jiji hili la Mwanza
hulifanya Jiji la Mwanza kuendelea kupendeza pia kulera huduma karibu zaidi, kwa wakazi na wageni walioko katika Jiji la Mwanza.

GK MIN Super Market iko mtaa wa  Barabara ya Kenyatta , na iko jirani na Stand za Mabasi yanayotoka Sehemu za Nyegezi, Buhongwa, Butimba nk, Super Market hii huhudumia wakazi wote wanaosafiri ama wanaohitaji huduma zaharaka na huduma zao kwa ujumla ziko safi sana.

barmedas imeweka Screen yake humo ili kuendelea kuwahabarisha watazamaji na hata wateja wanaokuwa humo wakihudumiwa ndani ya Super Market, kupata taarifa zote za kibiashara na pia hata bei ya vyakula na mazao pia aina ya vyakula na mazao hivyo, humfanya mteja kujua bei lakini pia Super Market hiyo inauza vyakula na huduma zipi kwa kuwa  GK MIN  Super Market zimewekwa taarifa zao kwenye Channel inayoitwa Mwanza Tv Guide or Mwanza Information.

Picha chini ni GK  MIN Super Market na wateja wakiwa wanajipatia huduma pia wahudumu wakiwa wazi kabisa kuwahudumia wateja wake na hapo hapo juu screen ya MTG ikionyeshwa ratiba za ndege na  taarifa zingine za kibiashara na Channel hii ni masaa 24 inafanaya kazi.

Comments

  1. Mwanza Tv Guide Channel relays 77 different Information Every Day & the Flight Schedules are being broadcast on Real Time. The Channel is also Available on the barmedas.tv buke of channels so Viewers can also take the advantage of getting all the info while chilling at home Sisi Tunatangulia Wengine Wanafuata

    ReplyDelete

Post a Comment