12,000 POLES AROUND THE CITY-barmedas.tv

Tunaposema tunatangulia na wengine wanafuata, tunavyo vigezo vingi ambavyo vinaweza kuthibitisha usemi huo.

Tunazo nguzo 12,000 katika Jiji zima la Mwanza,  nguzo hizo  ni kati ya vifaa mhimu sana kukuwezesha  wewe mteja wetu kuendelea  kupata huduma iliyosafi kukufikia wewe nyumbani kwako.

Mteja wetu tunakuomba  kuwa uonapo nguzo zetu zilizo na vibao vilivyoandikwa UNATAZAMA barmedas basi jua ni hao ndg zako wanaotoa huduma ya cable ambapo huduma hiyo unajipatia taarifa zote, zikiwemo mpira, taarifa za kibiashara ,vipindi mbali mbali, hivyo ndg yangu uonapo nguzo zetu nawe uwe mlinzi wa nguzo hizo kwa kutoa taarifa endapo utaona uharibifu ama nguzo imeanguka toa taarifa kwa kutumia mawasiliano yaliyoonyeshwa kwenye vibao hivyo ili usikose huduma kwa upuuzi wa wachache ambao huenda hawapendi maendeleo wewe muteja wetu ufaidi  huduma bora.barmedas.

Endelea kutazama barmedas.tv kwani" sisi tunatangulia na wengine wanafuata"


Comments