GROUP NO 5-barmedas.tv

Waandishi wa Habari, walioanza mafunzo ya miezi mitatu yakiwa yametiyarishwa MPC ( Mwanza Press Culb) na Chuo cha  DIJMC ( Dar- es Salaam Institute of Journalism Mass-media Communication )
yanaendelea vyema.

Tangia yaanze sasa imetimi week nne, mafunzo haya  yanawajenga katika taaluma zao waandishi wa habari ambao tayari wako makazini, hivyo itawajenga na kuwapa mbinu katika tasinia hii ya habari.

Walimu mahiri wako kuhakikisha wanawapa mbinu sahihi na za kisasa katika kuhakikisha wanafanya kwa weredi zaidi lakini kwa haraka zaidi kuwapa habari wananchi ili kila wakati wajue taarifa za kijamii kwa ujumla.

Hilo ni kundi no 5 likiwakilisha maandiko kazi ambayo ilikuwa wakiifanya takribani week 2 hatimae waliiwakilisha mbele ya wanafunzi wenzao kabla ya kukabidhi kwa Mwalimu ambae anaonekana katika picha akiwasikiliza kwa makini kuhusu uwakilishaji wao.

Andiko lao lilikuwa bora pia kati ya makundi mengine yaliyofanya vyema katika uandikaji na utayarishaji wa Makala.



Comments