MTG CHANNEL-barmedas.tv

MTG CHANNEL
Tumaini Hospital  hutoa huduma ya matibabu kwa wakazi waeneo la Konas ya Bwiru na maeneo mengine , ni Hospital iliyosifika kwa kuhudumia Watu kwa usahihi zaidi na inawafanya kazi waliofunishwa kuhudumia watu.

barmedas.tv hawakusita kusogeza huduma yao ya MTG kwa kuweka Screen ya Tv  kwa ajili ya kutoa taarifa moto moto za kibiashara , ambapo wateja na wasio wateja wanapata huduma hapo huangalia taarifa hizo kupitia Channel hiyo ya MTG,.

Pata taarifa moto moto  ZA KIBIASHARA kupitia channel ya MTG " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata"

Comments