MTG CHANNEL- barmedas.tv

barmedas.tv imeweka huduma za  taarifa moto moto za kibiashara, kupitia  channel ya MTG .

Hospital ya Sekotoure, hutoa huduma za Kimkoa hivyo Watu kutoka Wilayani walipatiwa rufaa kwa matibabu zaidi hufika katika Hospital hii ya rufaa na hapo utakuta huduma zetu zimewekwa hapo ukiangalia maeneo mbali mbali ukutani utakuta kuna Screen zinatoa taarifa moto moto kuhusu  ratiba ya ndege, ,  Mabasi, treni , pia ubadirishaji wa pesa na thamani zake kwa siku hiyo na taarifa zingine.

Hakika huduma hii imewanufaisha watazamaji wetu wengi,  endelea kutazama barmedas kwa kuwa " Sisis tunatangulia na wengine wanafuata"




Comments