HAPPY BIRTHDAY TO YOU-barmedas.tv

Birth day, nisiku ambayo leo ninasherehekea kuzaliwa tarehe 26 November Mwaka si usemi kwa lazima niseme wewe jua tarehe na Mwezi ndicho kitu cha muhimu,
Watu wengi marafiki na Ndugu wamekuwa na hamu yakupiga nami picha aidha za kunipongeza ama za kunitakia maisha marefu na yenye baraka tele.
Watu wengi hujipongeza kukumbuka kuzaliwa na wengine siku hiyo hunywa na kula sana tena kwafujo, hilo silikatai lakini inakuwa nifundisho gani kwa jamii? mimi siku ya leo nitaongeza upendo kwa kila mtu pia nitamwimbia Mungu wangu kwa kuwa naelewa leo nimesogeza pia siku za kuishi hapa Duniani kwani unaposherehekea kuzaliwa jua kuwa siku nazo zinapungua je unalijua hili?
Kuna Watu wengi siku ya leo tumezaliwa nao na wanasherehekea kila Mtu na style yake mimi kama nilivyotanglia kusema nitakuwa hapa ofisi nikichapa kazi kwa bidii lakini ifikapo saa 10 jioni nitachukua Piano na kucheza Nyimbo za kumushukuru Mungu, pasipo kusahau kuimba Wimbo wa Happy Birthday to you, x 2 Happy Birth Dear Sokoro , Happy Birth Day to youuu, na kula Keki kama itawezekana lakini Shukurani zangu zote zinaenda kwa aliyeniumba hadi sasa anaendelea kunilinda na kunipigania.
Sasa naanza tena Mwaka mwingine hivyo namuomba Mungu aendelee kunilinda na kunipigania ikli niendelee kuishi na kumtukuza yeye, niendelee kujichanganya na rika zote pasipo ubaguzi, tuendelee pia kuwaletea huduma safi wateja wetu wanaopenda kuiangalia Tv ya barmedas. kwa vipindi moto moto pia Burdani na vipindi vya Dini haswa kipindi hiki cha Christmas.





Comments