TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN

Tunatazama Campaign, leo tunatembelea Mtaa wa Ghana, kama tujuavyo Ghana ni kubwa na pia inawakazi wengi ambao kweli wengi wamekuwa nji wenyeji wa mda mrefu lakini kwaujumla ni wazawa wa sehemu hii.

Tunapotembelea Mtaa huu wa Ghana, nilazima tupige hodi na kutaka kujikita zaidi kutaka kuwafahamisha wenyeji kuhusu huduma zetu kwa kuwauliza je wanafurahia huduma zetu? hili ni swali tunawaachia wahusika wao watakuwa na majibu .

Lakini moja kwa moja tunataka kueleza kwa ufupi tu kuhusu Tunatazama barmedas.tv Campaign tunamaanisha nini? hebu kaa sawa tukupatie jibu, ili huduma za cable zikufikie  hapo ulipo? kuna vifaa vingi vitakavyo tumika ili upate huduma zetu, ni pamoja na nguzo ambazo huzibeba cable ili zipite sehemu na kukufikia wewe mlengwa ama mteja wetu.

Nguzo 12,000. ( Kumi na Mbili alfu tumezitandaza sehemu karibu zote katika Jiji la Mwanza na Vitongoji vyake hivyo wewe mteja na usiye mteja tushirikiane wote kuzitunza na kuziangalia nguzo hizi kwani ili upate huduma nzuri na yenye kiwango, nguzo nikiungo kkubwa cha matokeo hayo.

Jiji la Mwanza kilo meta 30 nimeweza kuzitawala kwa kueneza huduma zetu na watu wengi walio katika maeneo haya wanatazama na kufurahia huduma zetu na ndio sisi tunasema " sisi tunatangulia na wengine wanafuata " hii ni kauli mbiu yetu.

TUNATAZAMA barmedas.tv, kwa nini tumekuwa na Campaign hii ? nia yetu ni kukuhabrtisha wewe pia na mwenzako ili ujue huduma zetu na pia zimepanuka kwa kiwango gani, ninaimani umeanza kufahamu kwa nini tunakushauri sote mimi na wewe TUNATAZAMA
 barmedas.tv CAMPAIGN.

BASI MPENDWA WETU NAKUKARIBISHA WOTE TUWE KATIKA MTAA HUU WAGHANA TUTEMBELEE, Karibu sana.






Comments