TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN

NGUZO  12, 000 ZILIZOSIMIKWA JIJINI MWANZA.

Ndugu watazamaji na wateja wetu, ni wakati mwafaka kuelewa kwa undani kabisa kuhusu huduma zetu sasa zifanyavyo kazi huduma za Cable.

barmedas.tv  tunatoa huduma ili kukufikia huduma Hizi ,nguzo nikiungo Mhimu sana kwa mawasiliano yetu kwa kuwa tunatumia Cable.

Tunaazo kwa sasa nguzo 12,000 ambazo tumeezeka kote katika Jiji la Mwanza na Vitongoji vyake hii inaashilia kweli tumedhamilia kukuletea taarifa na huduma moto moto KUTOKA KWETU BARMEDAS.TV.

Tunachokuomba uwe  na  utambuzi unapoziona nguzo zetu zinakuwa na vibao vimeandikwa
TUNATAZAMA barmedas.tv, tambua kuwa hiyo ni huduma yetu Ombi letu uwe pia mlinzi wa Nguzo  hizo zilizo  jirani yako ili watu wachache wasio[penda maendeleo,m labda kuzing'oa ama kuzivunja usimuoneee /. usiwaonee haya Watu wa namna hii toa taarifa kwa kutumia namba zilizoko kwenye vibao.   KWA HABARI MOTO MOTO NA BURDANI, ANGALIA barmedas.tv kwakuwa "sisi tunatangulia  na wengine wanafuata"


Comments