TUNATAZAMA barmedas.,tv CAMPAIGN.

TUNATAZAMA barmedas.tv  TUMETANDAZA NGUZO 12,000 JIJI LA MWANZA NA
VITONGPOJI VYAKE.

Tuna Capmaign sasa ya kuwaelimisha wateja wetu  na wasiowateja ambao wanapenda kujiunga nasi kuwa tumeweka nguzo jumla 12,000 ambazo  zina saidia kuizibeba cable na hii hufanya  shughuli za kuwaletea taarifa mbali mbali katika majumba yenu kuwa rahisi hivyo, Nguzo kwetu sisi nawewe  ni kiungo muhimu sana katika kukupatia habari na taarifa mbali nbali,  ombi letu kwenu,  nikuwa na matunzo tushirikiane kuziangalia nguzo zetu ili huduma iweze kukufikia kwa ufanisi  na ubora mkubwa .
TUKO MTAA WA UHURU  CALFONIA.








Comments