TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN.

TUMETANDAZA NGUZO 12,000 KATIKA JIJI LA MWANZA NA VITONGOJI VYAKE.

Mkolani ni sehemu yenye huduma , itolewayo na barmedas.tv na Nguzo tunazozizungumza katika idadi ya nguzo hizo 12,000  zilizotandazwa kajika Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, Mkolani unawatazamaji wengi wanaopata huduma za barmedas tv Cable hivyo basi, nguzo hizo zinatakiwa zitunzwe  na wakazi walio maeneo hayo ili huduma safi zieendelee kukufikia wewe mtazamaji wetu bila chenga wala mchele mchele.

TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN sisi tumeamua kujenga uhusiano wa karibu sana kwako wewe mteja na kukufahamisha huduma zetu pia kujua vipi nawe uchangie katika kutunza mali zetu pia ni zako, hivyo elewa kabisa nguzo nikiungo muhimu sana katika kupata huduma ,  kupata habari na taarifa kutoka barmedas
endelea kutazama barmedas.tv kwani "sisi tunatangulia na wengine, wanafuata"



Comments