MWANZA TV GUIDE-barmedas.tv

MWANZA TV GUIDE CAMPAIGN
Wageni wanaoingia na kutoka katika uwanja wa Ndege, hufikia idadi ya Watu 40,000 na zaidi na wageni hawa wote hushuhudia kwa kuziangalia Tv zilizoko hapo uwanjani.
MTG CHANNEL, nI Channel inayotoa taarifa ya matangazo mbali mbali yakiweno matangazo ya Biashara na taarifa za Ndege.
Wasafiri wote wamekuwa na faraja na Channel hii kwani wanapata taarifa zote kupitia channel hii ya wakiwa Nyumbani na hata hapo uwanjani, barmedas.tv tumeanzisha huduma hii nia kuu ni kuwafikishia habari wateja wetu kupata habari mbali mbali na Moto moto.
Endeleas kutazama MTG Mwanza Tv Guide) "Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata"



Comments