NGUZO 12,000 TUMEZITANDAZA- barmedas.tv

TUMETANDAZA NGUZO JIJI LA MWANZA NA VITONGOJI VYAKE.

Tunatazama barmedas,tv, leo tunatembelea maeneo ya Nyegezi Bus Stand ambapo nguzo zetu zimepita huko kati ya Nguzo Jumla 12,000 ambazo tumetandaza katika Jiji la  Mwanza  na Vitongoji vyake.

Ndgu  mteja wetu, barmedas,tv ni kituo  kinachowaleta taarifa moto moto za Habari,  Michezo,  za Biashara, Kijamii, Live Misikitini , Makanisani,  matukio na makomangano ya kijamii.

Nguzo zetu zinatakiwa zitunzwe nakupewa ulinzi ili huduma ziweze kukufikia wewe za uhakika , hivyo wewe ndugu yetu ni msaada mkubwa sana kama utaweza kuwa mmoja wetu kuweza kuziangalia kuzitunza Nguzo zetu ili huduma ziendelee kukufikia wewe.

Endelea kutazama barmedas.tv " Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata"





Comments