TAZAMA MTG-barmedas.tv

TUNATAZAMA MTG
Tumeweka huduma zetu katika Duka la S.H Amon lililoko jirani na Screen yetu kubwa hapo  Bara bara ya Nyerere .

Ukiingia ndani utakutana na Screen inaonyesha matangazo mbali ya kjibiashara, basi tambua hiyo ndiyo Channel ninayokuambia ya MTG ( Mwanza Tv Guide)

Kwa matangazo ya Biashara yako lete tukutangazie hapa hapa barmedas.,tv " Sisi tunatangulia na wengine,  wanafuata "


Comments