TUNATAZAMA barmedas CAMPAIGN


TUNATAZAMA barmeda.tc CAMPAIGN.
Tumetandaza  Nguzo Jumla 12,000 pote katika Jiji la Mwanza  na nguzo hizi zinatoa huduma ya kuzibeba cable ili kukufanya mtazamaji wetu kupata huduma ya picha safi na hapo  uta enjoy vipindi mbali mbali , Michezo , taarifa za Ndege , taarifa za kibi ashara nk.

Nguzo ni nyenzo moja wapo inayosaidia kukuwezersha wewe mteja qwetu kupata huduma hizi, na kufurahia  huduma zetu , hivyo tunakuomba pia uwe msaada kwetu kuangalia Nguzo kama ziko salaama ili wateja wetu waendelee kupata huduma zetu, hivyo endelea kutazama barmedas.tv kwani
"Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata"








Comments