TUNATAZAMA barmedas.tv CAMPAIGN

TUNATAZAMA barmeda.tv CAMPAIGN.
Buzuruga Plaza tembelea maeneo haya utaona Nguzo zetu zimetandazwa maeneo hayo.
Tumetandaza Nguzo Jumla 12,000 pote katika Jiji la Mwanza na nguzo hizi zinatoa huduma ya kuzibeba cable ili kukufanya mtazamaji wetu kupata huduma ya picha safi na hapo uta enjoy vipindi mbali mbali , Michezo , taarifa za Ndege , taarifa za kibi ashara nk.
Nguzo ni nyenzo moja wapo inayosaidia kukuwezersha wewe mteja qwetu kupata huduma hizi, na kufurahia huduma zetu , hivyo tunakuomba pia uwe msaada kwetu kuangalia Nguzo kama ziko salama ili wateja wetu waendelee kupata huduma zetu, hivyo endelea kutazama barmedas.tv kwani
"Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata"





Comments