TUNATAZAMA MTG-barmedas.tv

Yunni Super Market , ni wateja wetu kwani hutangaza biashara yao katika Channel yetu ta MTG Channel inayohusika na matangazo ya Biashara na Channel hii imekuwa kivutio kikubwa kwa wafanya biashara kwa kuwa huleta taarifa zao kwetu na kuwatangazia biashara zao.

Yunni Supermarket hili ni Duka linalouza Vyakula vilivyosindikwa kwenye makopo, kwenye mifuko na duka hili liko Bara bara ya Nyerere jirani na Ofisi za CCM Wilkanya Nyamagana.

Wewe unaehitaji kujipatia bidhaa mbali mbali hasa kipindi hiki tunapoelekea Sikukuu ya Mwaka mpya nenda ukajipatie bidhaa na zawadi kwa wapendwa wako, lete matangazo kwenye Channel yetu ya MTG "Sisi tunatangulia na wengine , wanafuata"



Comments