TUNATAZAMA MTG CAMPAIGN-barmedas.tv

AZAMA MTG CAMPAIGN.
Tumeweka huduma zetu maeneo mengi  katika Jiji hili la Mwanza , sehemu moja wapo ni Salma Cone ambapo Channel ya MTG iko wakati wowote ikihabarisha wateja wetu na wateja waliokuja kujipatia kinywaji huiangalia channel hii ambapo matangazo na taarifa za kibiashara hutolewa katika Channe hii.

Kipindi hiki cha  Christmas watu wengi hupenda kutangaza biashara zao pia kuweka punguzo katika Biashara zao ili watu wafaidike na Sikukuu ya Christmas, je wewe unangoja nini? mjoo utangaze Biashara yako kwa kupitia barmedas.tv Channel ya MTG, KWANI "Sisi tunatangulia na wengine , wanafuata"


Comments