TUNATAZAMA MTG CHANNEL-barmedas.tv

UNATAZAMA MTG CHANNEL- barmedas.tv
Vodacom  Customer Care - Nyamagana , ni wateja wetu kwani hutangaza biashara yao katika Channel yetu ta MTG Channel inayohusika na matangazo ya Biashara na Channel hii imekuwa kivutio kikubwa kwa wafanya biashara kwa kuwa huleta taarifa zao kwetu na kuwatangazia biashara zao.

Voda com Custormer Care- Nyamagana,  hili ni Duka linalouza Vocha ,  duka hili liko Mtaa wa Posta jirani na uwanja wa  Nyamagana.
Wewe unaehitaji kujipatia bidhaa mbali mbali hasa kipindi hiki tunapoelekea Sikukuu ya Mwaka mpya nenda ukajipatie bidhaa na zawadi kwa wapendwa wako, lete matangazo kwenye Channel yetu ya MTG "Sisi tunatangulia na wengine , wanafuata"

Comments