KARIBU JIJINI MWANZA -barmedas.tv

Mgeni tunakukaribisha ufikapo Mwanza kuwa umeifahamu Jiographia ya Jiji la Mwanza pia.

Ujue maeneo yapi utembelee ili kweli urudipo Nyumbani uwe kweli umeifahamu vyema Historia ya Jiji la Mwanza.

Mwanza inayo Mahotel makubwa na ya kifakhali  na pia nyumba za kulala wageni
Wewe yatakufanya kweli kana umefika Nchi za wenzetu lakini pia, utakutana na ukarimu wa wenyeji ambao kweli hupenda sana Wageni, lakini pia vyakula ambavyo Hupatikana humu ni adimu sana Mikoa mingine hutaipata  hali ya vyakula iliyopo hapa Jiji la Mwanza.

Nachukua nafadi hii wewe mgeni wetu hakika jisikie uko Nyumbani pia endelea KUTAZAMA barmedas.tv "Sisi tunatangulia na wengine,wanafuata"

 

Comments