WAHITIMU WA SAUTI-barmedas.tv

CHUO CHA SAUT CHA KOBOA ASOMI.

Chuo kikuu SAUTI  kimeweza kutoa wasomi wengi ambao wamenaendelea kulifanya Taifa letu kuwa na Wataalam wa Sekta mbali mbali, barmedeas.tv tulikuwa mashuhuda wa sherehe hizi ambapo wasomi hao katika kiapo chao , walitoa ahadi kuwa Elimu hiyo walioipata wataitumia kuliletea Taifa letu la Tanzania ufanisi, lakini pia nao walitoa ombi kwa Serkali kuwatambiua wasomi hao kwa kuwaboreshea vitendea kazi watakavyo hitaji kuvitumia katika Nyanja zao pia Mishahara yao itunishwe ili kuongeza hamasa katika Kazi.

Picha hapo chini zinaonyesha Sherehe hizo zilivyofanyika na zilikuwa za kuvutia, Ndugu na marafiki walihudhulia kwa wingi sana kwa kuwapongeza na kuwavisha mashada kuashilia kuwa wanahitaji pongezi kwa kazi iliyofanyika kujiongezea ujuzi na maarifa.





Comments