ZIARA UWANJA WA NDEGE-barmedas.tv

Tulifanya ziara kutembelea Screen zetu tulizoziweka hapo uwanja wa ndege Mwanza pia, kuangalia Channel ya MTG kama inathaminiwa kwa kuangakiwa na Wasafiri?

Swali hilo limepata majibu ya kina tulipofika uwanja wa ndege na kukuta wasafiri wameketi kwenye viti wakisubiri kuruka kwenda wakikotarajia, jambo la kutia moyo wakati wakisubiri usafiri walikuwa wakiifuatilia channel ya MTG wakati ikitoa taarifa kuhusu ujio wa Ndege lakini pia ratiba ya Ndege kuondoka.

Walikuwa wakipata faraja kubwa haswa pali kila dakika Channel hii ilikuwa ikiwafahamisha ratiba kamili za Ndege hivyo kama ilivyokawaida, Wasafiri walikuwa kila mara wakitupia macho yao kwenye Screen ya MTG na huku wengine wakiangalia channel zingine za barmedas.tv kwa kuangalia vipindi mbali mbali. 

Hakika barmedas tunajivunia kwa kutoa huduma safi; hivyo endelea kutazama barmedas kwani "Sisi tunatangukia na wengine, wanafuata"

Comments