HASHIKOME-barmedas.tv

Wageni kutoka  Denmark wakijifunza utamaduni wetu hasa walipokuja kutembelea Mkoa wetu na uja kujifunza Ngoma za Kisukuma na tabia zake, wageni hawa walitumia vyombo vyao vya kisasa na kutafasiri kwa kuvitumia vyombo vyao hivyo vya kisasa na kupiga katika mahadh ya ngma zetu.

Comments