ISOME KATIBA-barmedas.tv

Watanzania tunatakiwa tuisome katiba tunayotaka kuipigia kura , huu ni wakati mzuri lakini ni mfinyu sana tukiendelea kupiga kelele pasipo vitendo tutakutwa tumekwama na hivyo kujikuta tunakipigia ama kukikataa kwa sababu ya kufuata mkumbo, soma kwa makini sana kipengere kwa kipengere  usije ukapigia kitu  pasipo kuelewa yaliyomo.

Ombi langu kwako wewe Mtamzania usipende kuwasikiliza tu wanasiasa kila mmoja akivuta kamba kwake la,  ichukue Katiba isome kwa makini na hatimae baada ya kuielewa vyema kaa mkao wa kula ili uje kuipigia kura Katiba ambayo wewe na kizazi chako kingine kitatembea ndani ya Katiba hii.

NAKUSHAURI CHUKUA MDA WAKO VYEMA KUISOMA KATIBA HII YA TANZANIA.

Comments